KYOMA OMU BAHAYA
Member
- Apr 7, 2013
- 5
- 0
Ndugu wadau, mimi binafsi nimekuwa na tatizo la kinywa, kwa hiyo ninaomba kama kuna mtu ambaye anajua na amewahi kukumbana na hali ambayo mimi nimekumbana nayo basi naomba ushauri au tusaidiane. Tatizo ni hili, kwamba pindi nikiweka chakula chochote kinywani huwa ninasikia maumivu au reaction fulani ndani ya kinywa ambayo baada ya muda hupotea, nimekuwa na experience hii huu ukiwa ni mwaka wa pili bila kuona au kujua tatizo nini. Wadau ninawakaribisha kwa usaidizi wa kimatibabu kama mnajua hili. Asanteni.