KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Niliambiwa nina damu 17, nikaambiwa nipunguze sikujibu chochote daktari akajiongeza sijaafiki ila akanitajia dalili kadhaa kuwa nikiziona basi niende wakanipunguzie si nimegoma kwa hiari!!..
chaajabu nilikuja kufatilia nikajua normal damu inatakiwa kuwa 16,sasa mimi kuzidi hiyo moja tu ndo wanipunguzie!!!! which is which..
wataalum naombeni ufafanuzi kuhusu hili..
chaajabu nilikuja kufatilia nikajua normal damu inatakiwa kuwa 16,sasa mimi kuzidi hiyo moja tu ndo wanipunguzie!!!! which is which..
wataalum naombeni ufafanuzi kuhusu hili..