koboG JF-Expert Member Joined Apr 3, 2016 Posts 2,763 Reaction score 5,167 May 6, 2023 #1 Hii cm ni OPPO r9 plus huyu jamaa amezunguka kwa mafundi wote ila wapi wananshindwa kutatua tatizo cm inagoma kupeleka charge uki connect kwenye charge inaleta haya maneno. vip hii cm atupe tu au kunanamna ya kufanya hapa
Hii cm ni OPPO r9 plus huyu jamaa amezunguka kwa mafundi wote ila wapi wananshindwa kutatua tatizo cm inagoma kupeleka charge uki connect kwenye charge inaleta haya maneno. vip hii cm atupe tu au kunanamna ya kufanya hapa