Wataamu wa kiswahili saidia hapa tafadhali

njundelekajo

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
310
Reaction score
227
Ni ipi tofauti kati ya maneno haya KUJUA na KUFAHAMU, JIBU na JAWABU?
 
kujua ni vitendo katika jambo mnasema pratrical wakati kuhafamu ni theory mfano unapokuwa darasan nakufundisha jinsi na kuvua samaki basi ile hali ya mimi kukufundisha na wewe kuelewa kwa kujibu maswali unakuwa umefahamu na nikikupa ndoano au nyavu ukaenda kuvua kwa kufuata jinsi nilivyokufundisha basi hapo unakuwa umejua na kuhusu jibu na jawabu hakuna utofauti ni mambo ya kirahaja tu hayo ambayo mameno yote mawili yamepata mashiko na kujulikana ila maana yake ni moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…