kuhusu utaratibu
Member
- Feb 14, 2015
- 47
- 6
Mimi ni mtaaram wa maabara ngazi ya certificate natafuta ajira ninauzoefu wa miaka mwaka mmoja ,ombi ningependa sana ikiwa dar kwasababu nipo na familia yangu hapa mshara maelewano na naweza kukusajilia maabara yako kwa maabara daraja c ahsanteni