donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Game imeisha mzeeNgoja nimalize kucheki gemu la simba kisha nije kuchapa hii ngoma.
Kwa haya matokeo unadhani nina hamu hata ya kupiga hii ishu!? Simba na arsenal zunaweza nitoa roho.Game imeisha mzee
Nikishaonaga Dx dy
[emoji3][emoji3]acha visingizio,integrate mkuuNimesahau miwani yangu kazini kesho nitaisolve
Enzi zangu hii kitu laini sana