Utabiri unafanyika kwa crstal ball,astrology,palmistry,tarot cards, halafu ksma unafanya astral travelling,ukienda kwenye Hall of Memories utaeezakuiona akashic record na record of probabilities.Katika Akashic unaona mambo yaliyopita since the beginning of time. Katika record of probabilitied you see the future,from now until 3000 years into the future. Hii dunia ni physical plane,baada ya hapo ipo astral plane,baada ya hapo ipo brahma plane. Csll it whatever name you like,the plane above the astral plane,wanapokwenda watu wanapokufa,hapo ndipo ilpo hall of memories. Kwa maana hiyo,ukikutana na roho ya mtu aliyekufa,anaweza kukuambia something that will happen in the future.Unaweza kutabiri kwa kuingia katika kufikiria record of possibilities kuona kama vita inaweza kutokea.

Ujanja gani mkuu?majira ya nyakati, mzunguko wa mwezi, nyota,roho na ujanja ujanja kidogo.
teh teh teh... upo wewe? heri ya mwaka mpya.Ujanja gani mkuu?
Nipo kabisa. Heri ya mwaka mpya na kwako piateh teh teh... upo wewe? heri ya mwaka mpya.
hapa pamenifanya nifikirie saaana bila majibu...sasa uko kwenye plane above astral plane unafikajefikaje jamani,na iyo roho ya mfu unaionaje mpk ukapata na muda kabisa wa kuongea nayo,na ilhali tunaambiwa ukishakufa roho zinazibitiwa na Mungu mwenyw na kama ni mtu mbaya/mtenda dhambi ni mwendo wa kichapo tu chini ya ulinzi mkali wa malaika.",the plane above the astral plane,wanapokwenda watu wanapokufa,hapo ndipo ilpo hall of memories.".
Nionavyo mimi, watabiri huwa Wanatumia mapepo ya utambuzi Ambayo ni mashetani katika ulimwengu wa Roho.Kuna hawa watu ambao wanatoa tabiri mbalimbali juu ya mambo mengi ya mbele, muda mwingine huwa wanapatia kabisa japo huwa kuna malalamiko kuwa muda mwingine huwa ni uwongo. Sasa nataka kujua hawa watabiri huwa wanatumia uwezo gani kujua mambo yatakayotokea mbeleni??
NDugu yangu Muumba hajaumba kiumbe chake kije kuishi kwa masosoneko na unyonge,hiyo ni hali ambyo unaikubali mwenyewe ya kukata tamaa,jaribu kuweka Imani kwake na pia bidii ongeza,Ktk shughuli zako,chukua mfano mama tibanjuka,alitegemea kama angeenda sokoni kununua mboga na bilioni kwenye kapu?.Kama kuna mtaalam wa kutabiri hapa Jf ajitokeze aniangalizie nyota yangu na ni biashara gani inaendana nayo maana naona nazeeka maskini.