Watafiti: Vyakula vyenye Cholesterol sio tishio tena kwa afya

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,605
Reaction score
1,085
Utafiti mpya umeonyesha kuwa vyakula vyenye cholesterol au lehemu mfano mayai na siagi sio tishio kwa afya kama ilivyojulikana awali. Watafiti wamegundua hakuna uhusiano wa mafuta kuongezeka kwenye mishipa ya damu na vyakua hivyo. Tayari Marekani wanajiandaa kuondoa vyakula hivyo kwenye orodha ya vyakula hatarishi.

===========================================


Source😀ailymail
 
Hii sayansi yetu kila kukicha inaibuka na kanusho jipya! Utasikia sasa pombe,sigara,antibiotics hazihusiki na vidonda vya tumbo! Tutaeleweka kweli kwa watu tunaowapa elimu ya afya!!?
 
imefika wakati sasa,kila siku tunachanganywa tuuu na hizi tafiti, mf Joel akisema chakula hiki kibaya ,john anatoka na utafiti kuwa sio kibaya! mf,tuliaminishwa miaka yote kuwa ukila chakula ule mlo kamili pamoja na matunda ,ghafla ukaja utafiti oh,usile matunda wakati wa kula chakula,!kula matunda halafu kaa nusu saa au lisaa ndo ule chakula.ngoja turudi kule kwa mababu zetu,tutakula vyakula vyetu vya asili!hawa wazungu hawa na ajenda zao za siri tumeshtuka!Yupi mkweli yupi muongo?WANATUCHANGANYA!
 
Hii sayansi yetu kila kukicha inaibuka na kanusho jipya! Utasikia sasa pombe,sigara,antibiotics hazihusiki na vidonda vya tumbo! Tutaeleweka kweli kwa watu tunaowapa elimu ya afya!!?
Mdau. Awali ilijulikana Vidonda vya tumbo vilisababishwa na acid na stress. Karibuni wamegeuza kibao baada ya kugundua bactera aina ya Pylori ndo visababishi. Sayansi hupingwa kwa utafiti
 
Mhimu ni kufata ushauri wa mwanzo tu, alafu yafaa mtambue watu tuko tofauti .Ebwana bangi ni bora avute tajiri, lkn sio masikini!!.
 
Hii taarifa nimeipenda ngoja niagize mdudu kilomoja rost safi na ndizi mbili.
 
Utashangaa zaidi utakaposikia watafiti wakanusha ngono zembe hazisababishi maambukizi ya HIV......😛eep:

Hii sayansi yetu kila kukicha inaibuka na kanusho jipya! Utasikia sasa pombe,sigara,antibiotics hazihusiki na vidonda vya tumbo! Tutaeleweka kweli kwa watu tunaowapa elimu ya afya!!?
 
Kuna kautafiti kanakuja kwamba watoto wakiume wasipewe nyama ya jogoo kwaani kuna uwezekano mkubwa hapo baadae wakawa wazinzi kama jogoo punde wakikua.
 
Kuna kautafiti kanakuja kwamba watoto wakiume wasipewe nyama ya jogoo kwaani kuna uwezekano mkubwa hapo baadae wakawa wazinzi kama jogoo punde wakikua.[/QUOTE



Kuna wazee kila jioni wanafuata kula ASHUA za mbuzi na ngombe dume. sijajua maana yake.
 
[/QUOTE]



Kuna wazee kila jioni wanafuata kula ASHUA za mbuzi na ngombe dume. sijajua maana yake.[/QUOTE]

Hizi ndo nini?
 
Mhimu ni kufata ushauri wa mwanzo tu, alafu yafaa mtambue watu tuko tofauti .Ebwana bangi ni bora avute tajiri, lkn sio masikini!!.
Ndio, tajiri an hofuj ya kuacha pesa zake ikiwa bangi itamfanya aheuke kama Bw Makosa wa Irin**.
 
Kuna wazee kila jioni wanafuata kula ASHUA za mbuzi na ngombe dume. sijajua maana yake.[/QUOTE]Hizi ndo nini?[/QUOTE]


Ashua ni nyeti hasa za mbuzi dume au ndafu. Nenda Baa ya Wazee Ilala
 
Pamoja na yote inabidi mtu ajipange kwenye mlo mzuri
 
Mkuu Andishile,
Uko Sahihi kabisa. Wataalamu wanatuvuruga sana na hizi tafiti zao. Mimi nilikuwa mpenzi sana wa mboga ya mchicha.
Nikaanza kusumbuliwa na maumivu ya Joints, katika kufanya Vipimo majibu yakaonekana nina Uric acid nyingi kupita kiwango ndio ilivyokuwa ikineletea hayo matatizo. Guess what!!! Ilitokana na kula mchicha....yaaani nilichoka kabisa. Mchicha huu ambao tumekuwa tukiambiwa na wataalam ni Afya na unaongeza Damu mwilini.
 
Ndio, kila kitu kwa kiasi. Mchicha kama ilivyo pombe zote, jamii zamaharage na nyama za wanyama wengi zina purines ambazo husababisha gaut.
 
ndo mana mi najiliaga tu, sifuatagi haya maushari yao
 
Mi nitakachojisikia kula nakula, MUNGU ndo designer
 

Mi huwa sichagui labda pilau tu sababu nikila naharisha!!

Mbona Wamasai wanashindia nyama asubuhi, mchana na jioni na hawaumwi sijui gautsi!!? Mengine kutishiana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…