nipo kaka, tutakua tunapishana tu majukwaaulipotea kabisa ukumbini JF. Basi vema.
Achante chana.. mi wakwanza anajijua wapili nakuweka wewe,watatu hahaha
Muislam wangu popote ulipo nataka kukuona tenaππ
Ha ha ha ha! weeehMiss Natafuta kwa ajili ya kuipiga chura yake makofi
Sipangiwi..πAsante ila umevunjΓ sheria kasema wa 3 tu nakupa lyf ban.
Teh teh teh!
Bwana ajua..πUnataka kugundua nini we kiberenge ππ
πKenzy
scars
Citizen B
Mvumbo
Jane lowasa.
Bwana ajua..π
ni mwanaume huyo tena rafiki yangu sana..!mimi Sky Eclat nikionaga profile yake najuaga kama nimemuona oprah fulani hivi
Achante chana..Karibu Mbagala Chamazi sasa π