Umewaza kwa kina sana πTunaogopana sababu hatujuani so kumeet na members usiowajua ni mtihani.
ehehehe jf bana,safi sana,ila kuna huyu Erythrocyte mwingine Jane Lowassani mwanaume huyo tena rafiki yangu sana..!
Smart911 nataka kuona kama kweli sio muongeaji,lol, mahondaw you are soo lucky,lol mwingine ni miminimkulimaakachekasana sababu nitaweka baadae..lol
Tuombe uzima cha upole...
π²π²ni mwanaume huyo tena rafiki yangu sana..!
Hapo mwanaume ni mmoja na mwanamke mmoja kazi kwako.ehehehe jf bana,safi sana,ila kuna huyu Erythrocyte mwingine Jane Lowassa
πππππ Unafoleni uko juu..tag ya kwanza kabisa..ifuate ya pili ..ya tatu..Mimi mwisho kabisaπ