Wataje members watatu unayetamani kukutana nao

Me natamani kukutana na smart911,kichwakichafu na mdada mmoja hivi ila nimemsahau jina nikimkumbuka namtaja Sasa hivi.
Jonithebatist, Magonjwa Mtambuka, Cocochannel, Igudunde back list itaendelea.
 
Weekend ijayo unipeleke basi, set ratiba zako mapemaa
Dedicating to you this song

Oh baby fit me in your time table
Fit me
Oh baby fit me in your time table
Fit me
Oh baby fit me in your time table
Fit me
Oh baby fit me in your time table
Fit me
Oh baby fit me in your time table
Fit me
Oh baby fit me in your time table
Fit me
Oh baby fit me in your time table
Fit me
Oh baby fit me in your time table
Fit me.......

By Ykee Benda

Tayari nishaarrange ratiba zangu mkuu
 
Goodboy😀
 
Kuna watu watakuja kusema hawahitaji kukutana na member humu yet washawahi kugongwa na member kupitia hili hili jukwaa la Jf

Wakija wapuuzieni.
🤣🤣
Kwa hiyo habari ya hzo ajali za "magari" kugongana huwa wanakuletea kabisa?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…