Wataje unaowafahamu kwenye kikosi hiki

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ni Fc Porto, walitikisa Ulaya miaka kadhaa, unawakumbuka wachezaji wangapi katika kikosi hiki? Wataje kwa majina...
 
Maarufu hapo Mc carthy mwisho waliopiga goti kulia, akifuatiwa na Ferreira, kushoto kabisa Deco, pia yupo Carvalho waliosimama na Costa.
 
Daah kitambo sana hiyo....km sijakosea wanamtoa Lyon ilyosheheni vipaji kwenye fainali ,namuona fundi Deco De Souza,namuona hapo fundi mwingine wa mipira dogo Carlos Alberto, yupo Ricardo Carvalho,mkubwa wa kambi Vitor Baia, mwana kutoka kwa Madiba, Benedict McCarthy, costinha, Nuno valente (kule Lyon walikuwa na Nuno Gomes)ongeza na Maniche
 

Monaco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…