Wataje watu maarufu wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa

Wataje watu maarufu wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,328
Reaction score
6,638
50 cent,Nas,P Diddy.P Diddy anasema kuoa ni kujibebesha majukumu makubwa yasiyo ya lazima.

kwa hapa bongo ambao hawajaoa ni Jay mo,ana miaka 41,mchizi moxie,Nikki mbishi [emoji23],p funk majani,aaa!!! samahani oo!! P funk kaoa, Duke pamoja na ukauzu wote ule nae kaoa,Sugu kaoa akiwa ana miaka 47[emoji3][emoji3][emoji3].

mimi nilipanga nitaoa nikiwa na 45, lakini nimeairisha na nimeamua kutokuoa kabisa,kamwe sitooa ila nimeshazalisha watatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]

haya wataje watu wengine wenye umri mkubwa ambao bado hawajaoa.

Screenshot_20191129-131111~2.jpeg
 
Back
Top Bottom