Ishi na watu vizuri Sana, usikubali kuwa chanzo cha migogoro Katia Maisha yako ya kila Siku.
Ila usiweke matumaini kuwa watu wako wa karibu ndio msaada wako kamwe usifanye hivyo.
Wanakuja kutusaidia kwenye Maisha yetu ni watu baki ambao hatuwajui kabisa.
Usitegemee marafiki zako ndio msaada wako hapana Ila kuna Kitu nataka Uwe unakifanya Basi automatically utakuwa unatokea msaaada katika mazingira usioitegemea
Kitu hicho ni Saidie wengine usiowajua na usitegemee malipo yoyote.
Ukifanya hivi utakuwa Ndani ya nature.
Kumbuka unachofanya utafanyiwa hata kama Sio Leo