Watakao maliza form six kupitia JKT 02 March 2013

Watakao maliza form six kupitia JKT 02 March 2013

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga, kwa mamlaka aliyopewa na sheria ya Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 1964 kifungu kidogo namba 2b kwenye mabano.
Anawaita (CALL UP) vijana watakaohitimu kidato cha sita mwaka 2013 kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mujibu wa sheria ifikapo tarehe 02 MARCH 2013
Kwa kuanzia utaratibu huo utaanza na vijana 5,000 kutoka shule za Sekondari zifuatazo:
KIBONDO, MUSOMA, KIBAHA, ILBORU, BAGAMOYO, JITEGEMEE, TABORA BOYS, NGAZA, MTWARA GIRLS, IHUNGO, KILAKALA, BENJAMINI MKAPA, MASWA GIRLS, DODOMA, TUMAINI-SINGIDA, GALANOS, ASHIRA, NANGWA-IRINGA, IYUNGA, MPANDA, LINDI, IRINGA GIRLS, KAWAWA-IRINGA, RUHUWIKO-SONGEA.
Maafisa kutoka JKT wataenda katika shule hizo kuanzia tarehe 09 January 2013 kutoa utaratibu wa Mafunzo.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JKT.
 
Another bullshit way of spending taxpayers monies...
 
mbona sioni Marian girls, Feza boys, St marys, Shaaban robert, Loyola, Mzizima etc zile wanazosoma watoto wa..

Nchi hii ina ubaguzi sijawai ona, watoto wa wakulima wanawapeleka kupiga kwata wakati watoto wao wanakula kuku home...

Nina uhakika hakutakuwa na mtoto wa marian, feza wala st kuch kuch atakayekanyaga JKT
 
Pamoja na kwamba ndio wanaanza, nilitegemea hiki kianzio kiwe na walau shule moja toka kwenye kapu la 'St St St'. Hizi shule wanazoma watoto wakubwa utashangaa watoto wengi hawajui hata wimbo wa Taifa!
 
safi sana vijana wataacha utoziiiiiiiiiiiiiiiiii na kuwa na uwajibikaji na uzalendo na kupenda kufanya kazi.
 
Jitegemee ni ya Jeshi, sijaona zinazo milikiwa na watu binafsi, sio majeshi nataka nione hapo Feza Boys and Feza Girls, Green eka na nyinginezo, usiniambie Makongo wala shule zinazo milikiwa na Jeshi. Sawa Nokla ?
Hivi JITEGEMEE ni shule ya Serikali?
 
Last edited by a moderator:
idea za kipum.bavu pumb.avu tu, so hii ina mchango gani kwenye maendeleo??
 
Jitegemee ni ya Jeshi, sijaona zinazo milikiwa na watu binafsi, sio majeshi nataka nione hapo Feza Boys and Feza Girls, Green eka na nyinginezo, usiniambie Makongo wala shule zinazo milikiwa na Jeshi. Sawa Nokla ?

Ndio maana maelezo yanasema wataanza na wanafunzi 5000 na Shule tajwa nyingine zitafuta, kuwa mvumilivu sawa mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Soma tangazo kwa makini. Tanzangazo linasema wataanza na..... Haina maana kwamba ni shule tajwa tu!
Walipaswa kuweka tangazo vizuri zaidi ili kuondoa maswali yasiyo ya lazima. Sawa, wanaanza na hizo walizotaja,je hizo nyingine (ambazo ndio nyingi zaidi) zitafuata lini? Wanafunzi wote watakuwa wamepita JKT kabla ya muda wa kwenda chuo kikuu kufika? Wametumia vigezo gani kuanza ni hizo na kuacha nyingine? Anyway, ndio Tanzania yetu hii 'hakuna' tunaloweza kufanya kwa weledi na ufanisi!
 
Ngoja waandae watakaopiga picha na Mb.Le......hata wakianza na elfu 2.Bg up mkuu wa Jesh utatuongezea wafuasi.
 
Wamenisitisha sana kuiacha Mzumbe katika shule za awali. Angalau Ilboru ipo lakini. JKT ni kitu kizuri...
 
Back
Top Bottom