Watakao maliza form six kupitia JKT 02 March 2013

Hii safi sana aisee.......vijana inabidi waende..........

Waanze bungeni....maana kuna vitoto vingi havijapitia jeshi
Pili wafuatie vijana wote ambao wako makazini na hawakupitia Jeshi
tatu wafuatie wale watakaomaliza Chuo na hawakupitia Jeshi

Nne na muhimu....Wapiga box wote ( kama akina Nyani Ngabu ) ambao hawakupitia jeshi....wakirudi bongo hakuna kutoka mpaka upitie JKT......nidhamu ya mitandaoni itarudi......

Keep it up General Muhuga
 
Last edited by a moderator:
Naitabiria tanzania itakuwa na m23,bokoharamu,alshabaaab,za kutosha sana miaka mitano ijayo!
 
Naitabiria tanzania itakuwa na m23,bokoharamu,alshabaaab,za kutosha sana miaka mitano ijayo!

Heshima itakuwepo mtaani, masharobaro kwisha habari yao!
 
'Galanos penda watoto'-nawatakia maandalizi mema
 

Unataka watoto wa watu wakasote kulima misarabaya Masange JKT? au Bulombola? Chita?
 
acha nchi irudi kwenye nidhamu kidogo.
wastage of time and tax payer's money kuna nini kitakacholeta maendeleo ya maisha ya watu aka huduma za jamii bora na utawala wa sheria? sanasana watoto wa walala hoi ndo watajazana huko, ili kulima mashamba ya mafisadi. haya mtazalisha na mengine hii ni generation tofauti.
 
kitenuly isikupe shida, nchi ya chama hiki cha mafisadi mwisho wao umeshafika, acha tanzania ijengwe na watanzania siyo wachumia tumbo.

 
Last edited by a moderator:
vijana waoga, masharo baro, na masister poa ndio wanaogopa.
Hiyo itasaidia kuleta nidhamu na mahusiano.
 

Hao kuku wa kizungu si wanawezafia kwenye zoezi! kuua bila kukusudia
 
Shule zingine ambazo hazijatajwa inakuwaje...?


Umeambiwa kwa kuanzia.............wataanza vijana 5,000. Miaka inavyozidi kwenda shule zitaongezeka na hatimaye shule zote zitapeleka JKT vijana wao kwa lazima kama ilivyokua miaka ya nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…