Tetesi: Watakao tambulishwa kuhama vyama kujiunga CCM hawa hapa

Tetesi: Watakao tambulishwa kuhama vyama kujiunga CCM hawa hapa

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Kwa yanayoendelea huko Mwanza ,CCM lazima itapokea baadhi ya makada watakao hama vyama vyao kujiunga CCM

Miongoni mwao ni Mzee Sumaye, hiki kikao lazima kitatangaza kumpokea mzee Sumaye na Lowasa atapokelewa rasmi

Na wengineo ni ....

Ongezea wengine ambao unahisi watatambulishwa huko Mwanza wakihama vyama vyao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu mwaka kesho anajiunga na Chama tawala baada kugundua kile Chama kingine ni cha udikteta.
 
Sumaye ni zero. Wote tunajua. He is such a coward. Lowassa has two faces. The duo is unfit to lead. Ni wa kukwepa kama ukoma hawa jamaa! Hawafai kuwa viongozi.
 
Back
Top Bottom