watakaofanya sex kabla ya ndoa wafungwe jela

na wale 'singoz' wanaochiti na mali za wenyewe je?
 
wote wawili, vania kalipa inapima ke zaidi.
Tepu mezha, ni me zaidi.

Japo zaweza tumika kwa wote wote.

Litmus pepa ni acidity/alkalinity kwa wote.

vipimo hivi ni kwa jinsia ya me au ke?
 
uzuri wa hiyo shughuli ina majina mengi, inaitwa 'tendo la ndoa' pale mtu anapokuwa kwenye ndoa tu? nje ya hapo ni uzinzi tu kwa hy hakuna anaefanya tendo la ndoa nje ya ndoa!!!
 
Mmh! Nitawamiss.
Kwi kwi kwi, eti nini? wanaofanya mapenzi kabla ya ndo wafungwe?
Sasa nambie cousin, kazi za taifa na za makampuni watafanya kina nani?
Huyu alikosa mada akaona aanzishe tu kwa namna hii, wala hamaanishi.
Si watu wote wataishia jela, serikali itafirisika kuwalisha na kuwalinda?
 
ntaandamana hata kama peke yangu sikubari hata kidogo.
 
Waanze kufunga kwanza watoto wanaozaliwa nje ya ndoa kma wewe itakuwa fundisho
watoto wa nje mna mambo kwelii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…