Watakaohudhuria harusi ya kim na kanye hawataruhusiwa kuingia na simu, jay z na beyonce tu ruksa

Watakaohudhuria harusi ya kim na kanye hawataruhusiwa kuingia na simu, jay z na beyonce tu ruksa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian itakayofanyika Mwezi wa Tano Imeanza kuwa Gumzo Baada ya Taarifa kuzagaa kuwa waalikwa hawataruhusiwa kuingia na Simu za mkononi wala kamera ya aina yoyote , kuepusha watu kupiga picha ama video na kuzipeleka mtandaoni kama ilivyokuwa Engagment party yao ambapo mtu mmoja alichukua video na kuipost Youtube bila ruhusa yao...Taarifa mpya zimekuja na kusema kuwa Jay z na Beyonce pekee ndio watakao ruhusiwa kuingia na Simu zao za Mkononi...
 
Duh!good kwa marafiki,naona Kanye kakubali masharti ya Jay Z kwamba hataki kuonekana kwenye Camera
 
Ustaa bana ina maana Kanye anamsikiliza Jigga kuliko Mke wake?
 
huyu jamaa namuona mshamba wa k,yani demu kajianika anapigwa miti na ray j yeye anaoa!!!kweli one man's ho is another man's wife material,..and he calls himself a gangsta.
 
huyu jamaa namuona mshamba wa k,yani demu kajianika anapigwa miti na ray j yeye anaoa!!!kweli one man's ho is another man's wife material,..and he calls himself a gangsta.

Hahahaha mbaya zaidi video kim analamba hadi koni
 
Hahahaha mbaya zaidi video kim analamba hadi koni

Hiv hakuliwa tigo kweli na Ray!!!!!!!!
Kina Kanye ndio wanaume banaa mioyo migumu angekua huku kim lazima apigwe dongo mwanamke ganii weeee lakin huko shwariii maana ya ray yashapitaaa
 
Kwani nyie x wenu mnajua wamelamba koni ngapi jamani. waacheni kipenda cho roho ula nyama mbichi
 
Ok First off, you a bitch nigga
Only reason I'm doin this
I'ma jus name 5 reasons real quick, got a
hundred fifty
First - you stole Roc-A-Fella from Dame
Second - you stole Kanye from Dame
Third - you stole Roc-A-Wear from Dame
Forth - I seen the nigga throw that diamond up
before them shots was fired
Fifth - hold on, turn the beat off
I had to turn the beat off for this
You talkin bout you a 80's baby
You 37 years old, you was born in 1968 and I
open the daily news
How's the king of new york rocking sandals with
jeans?
Open toe sandals with choncletas with jeans on
How's the king of New York rocking sandals with
jeans and he 42 years old?
Back to business
[Verse 1: Cam'Ron]
You ain't the only one with big wallets
Got it, my shits brollic, dot it
But your publishing should go to Mrs. Wallace
Honest. Stealing +BIG+ shit, he made 2 albums,
you wildin
And he can't dress dog who styled 'em
It was Roc-a-Wear, when Dame had it
Now you got it, call it +Cock-a-wear+,(you got it
on) huh not in here (nope)
Dead it pronto, you won't see a car. No
Dame and Biggs bitch for years, now you Juan
hoe
(Go to Lennox & Broadway you dumb ass nigga)
He own the 40/40 got you in Atlantic City
Bitched your budget outta baseline, goddamn it's
pretty
You love a Harlem nigga we get it cookin' it's true
But now I look we got more dudes in Brooklyn
then you
Appar-ently right? Down in Jeezy video
I shoulda kissed you on the cheek, you a pretty
ho (ask Weezy, Weezy was there)
At Jaz video you starred in it, Peter Pan (Hawaiian
Sophie)
I was hopping off the greyhound, Peter Pan
(Call him Hawaiian Sophie from now on)
How could he be the man? (huh)
Only reason fam I don't suck dick or kiss ass and
I'm consided, damn
But we hawk yo, right where you walk ho (right
where you walk)
You can fool the rest of the world long as New
York know
We put u underground clown aint gone check to
sell-us (cellars)
I know he 40 years old, I don't respect my elders
I respect the hustlers, plus the grinders and the
sellers
Yous a customer buster, here go jet propellers
 
Back
Top Bottom