Watakaoishia la Sita na watakaomaliza la saba mwaka huo huo watatosha form one?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Mwaka huo kutakuwa na wanafunzi wanaoingia form one mara mbili ya idadi ya kawaida. Watatoshaje?
 
Kwa sasa, shule nyingi madarasa yako tupu (kasoro chache za mijini).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…