Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 814
Hivi imetokea sasa kwamba CHADEMA hiyoo imechukua nchi,hivi vyombo vya habari hasa vya serikali TBC,Habari leo vitajificha wapi? maana waliyekuwa wakimponda na kumrushia vijembe ndio amekuwa bosi! Sipati picha.