Hivi imetokea sasa kwamba CHADEMA hiyoo imechukua nchi,hivi vyombo vya habari hasa vya serikali TBC,Habari leo vitajificha wapi? maana waliyekuwa wakimponda na kumrushia vijembe ndio amekuwa bosi! Sipati picha.
Waanze mara ngapi?!... Pole pole tunaona washaanza kubadilika. Coverage ya vyama vyotevyote inaanza kuongezeka na neutrality inajitokeza!! But all this goes to show how unprincipled these people are. Lakini maji yalishamwagika na historia itawahukumu vilivyo, maana naona wanasahau kuwa hamna kinachofutika kwenye 21st century!!