Habari zenu ndugu zangu Jamvini: Tumbo linaniuma sana sielewi tatizo nn haswa ikifikapo mida ya jioni, Nisaidieni plizzz nitumie Tiba ama dawa gani. Natanguliza Shukran za dhati.
Ni muhimu kwenda hospitalini kucheki ni nini shida kwanza mdau. Huwezi kutumia dawa bila kufahamu unapambana na nini. Siyo japo zuri kabisa kutumia dawa yoyote kwa tatizo lolote la kiafya bila kufahamu