Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Eti huu wimbo, unaweza kuwa umerekodiwa wakati wa kuteneneza video? Yani hii video na audi vimefanyika wakati mmoja, vyombo vikipigwa live kama inavyoonekana. Au ni kwamba wamerekodi video wakaimba ila audio ikawa replaced na audio waliosharekodi kwenye studio.
Napenda huyo mpiga drum anavyozipga kama band ya maskauti vile au polisi .