Nimejitahidi kusikiliza kwa headphones. Inawezekana kabisa ilikuwa Live sema sauti ya kwenye video camera ilirekodiwa kutoka kwenye Mixer moja kwa moja na sio mic ya camera. Na kama mdau alivyosema hapo engineer walikuwa makini na kucheza na hizo audio channel, ndio maana sauti za waumini zilikuwa controlled zikisikika kidogo mwanzoni na mwisho tena kwa kiasi.
Eti huu wimbo, unaweza kuwa umerekodiwa wakati wa kuteneneza video? Yani hii video na audi vimefanyika wakati mmoja, vyombo vikipigwa live kama inavyoonekana. Au ni kwamba wamerekodi video wakaimba ila audio ikawa replaced na audio waliosharekodi kwenye studio.
Napenda huyo mpiga drum anavyozipga kama band ya maskauti vile au polisi .
Hiki kitu si kinaweza fanyika kwenye show za live za wasanii maana sauti zinakuwaga hazisikikiNimejitahidi kusikiliza kwa headphones. Inawezekana kabisa ilikuwa Live sema sauti ya kwenye video camera ilirekodiwa kutoka kwenye Mixer moja kwa moja na sio mic ya camera. Na kama mdau alivyosema hapo engineer walikuwa makini na kucheza na hizo audio channel, ndio maana sauti za waumini zilikuwa controlled zikisikika kidogo mwanzoni na mwisho tena kwa kiasi.
Mostly vitu vingi vinaendeshwa unprofessionally kwa Tanzania. Just mazoea!..kwanini show za bongo kama fiesta au zile wasanii wakiperform na live band hawafanyi hivi hadi sauti zinakuwaga mbovu?
Hawa watu wa Gospel sound production zao huwa wanatumia vifaa vya ukweli sana with proffessional sound engineers. Wapiga vyombo wana uzoefu so lazima mziki uwe mzuri na soulful. Huwezi tizama hii clip bila kutikisa kichwa at some point. Vibe linaanza chini ila linapanda kadri vyombo vinavyochanganya.
Eti huu wimbo, unaweza kuwa umerekodiwa wakati wa kuteneneza video? Yani hii video na audi vimefanyika wakati mmoja, vyombo vikipigwa live kama inavyoonekana. Au ni kwamba wamerekodi video wakaimba ila audio ikawa replaced na audio waliosharekodi kwenye studio.
Napenda huyo mpiga drum anavyozipga kama band ya maskauti vile au polisi .
Kabisa Mkuu yani unasikia kila kitu. Inabidi Bongo fleva nao show zao waanze kuinvest hivi siyo tu kuweka viingilio meza milionHawa watu wa Gospel sound production zao huwa wanatumia vifaa vya ukweli sana with proffessional sound engineers. Wapiga vyombo wana uzoefu so lazima mziki uwe mzuri na soulful. Huwezi tizama hii clip bila kutikisa kichwa at some point. Vibe linaanza chini ila linapanda kadri vyombo vinavyochanganya.
Wazalishaji wenyewe ndio hao akina Laizar. Nyimbo kumi kila nyimbo ina sound kivyake.Kabisa Mkuu yani unasikia kila kitu. Inabidi Bongo fleva nao show zao waanze kuinvest hivi siyo tu kuweka viingilio meza milion
Sikiliza nyimbo 10 za P funk alizomix utanielewa fresh. Hamna nyimbo yenye makele ya kuzidi nyenzakeπππ Unawachokoza akina Joseph mkuu. Sema inabidi watu kweli wawekeze kwenye production.