katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
Yaani nimecheka kwa sauti,jamij forum kuna vituko sanaHiyo ni ishara kuwa wewe ni shujaa,kama unabisha wewe kachukue form ya ubunge utashinda kwa kishindo kikubwa.
@madame B upo,habar za idodomya?
Kisomo ni yale yale.Ndio kama mkristo aende kwa hao na kama muislam aende akapigwe kisomo
Idodomya kuko poa tu, baridi kama kawa na tunapauka kama misukule@madame B upo,habar za idodomya?