Ninyooshe maelezo moja kwa moja kwny mada. Hivi ni kipi bora kutumia account yako binafsi ya mitandao ya kijamii kupost kazi/ biashara yako or kutengeneza account rasmi ya biashara ndio uitumie kupost. Ipi ni njia bora zaid kwa sisi weny biashara ndogo ndogo?
Tumia account yako tu mkuu, jitahidi kuiboost kwa promo na kuitangaza kwa watu maarufu. Angalizo usitumie account hiyo hiyo kucomment kwenye mambo ya hovyo kama huwez hilo bora kufungua tu mpya.
Tumia account yako tu mkuu, jitahidi kuiboost kwa promo na kuitangaza kwa watu maarufu. Angalizo usitumie account hiyo hiyo kucomment kwenye mambo ya hovyo kama huwez hilo bora kufungua tu mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.