Watalaam wa ujenzi wa nyumba naomba msaada hapa

Watalaam wa ujenzi wa nyumba naomba msaada hapa

mzee wa magumashi

Senior Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
137
Reaction score
44
Wanajamvi habari zenu wakubwa.
Naomba msaada wa raman ya nyumba yaan mchoro ambao utakuwa umeonesha master,sitting,deaning,vyumba 2 vya kulala iwe na public moja.
Naomba kuwasilisha msaada
Najua ramani zinauzwa..
 
hizi ni kazi za watu. watu wamesoma kwa mamilioni ya pesa af wewe unakuja kuomba kirahisi hivi??
anyway ma architect wanakuja
 
Daaa jamaa yetu kweli unahitaji msaada lakini bure mwanangu jaiwezekani mimi ni fundi ramani zipo nyingi sana lakini kila kazi ina mipaka yake
 
Back
Top Bottom