mzee wa magumashi Senior Member Joined Oct 10, 2012 Posts 137 Reaction score 44 Oct 13, 2018 #1 Wanajamvi habari zenu wakubwa. Naomba msaada wa raman ya nyumba yaan mchoro ambao utakuwa umeonesha master,sitting,deaning,vyumba 2 vya kulala iwe na public moja. Naomba kuwasilisha msaada Najua ramani zinauzwa..
Wanajamvi habari zenu wakubwa. Naomba msaada wa raman ya nyumba yaan mchoro ambao utakuwa umeonesha master,sitting,deaning,vyumba 2 vya kulala iwe na public moja. Naomba kuwasilisha msaada Najua ramani zinauzwa..
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 Oct 13, 2018 #2 hizi ni kazi za watu. watu wamesoma kwa mamilioni ya pesa af wewe unakuja kuomba kirahisi hivi?? anyway ma architect wanakuja
hizi ni kazi za watu. watu wamesoma kwa mamilioni ya pesa af wewe unakuja kuomba kirahisi hivi?? anyway ma architect wanakuja
jumanne12 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 419 Reaction score 275 Oct 13, 2018 #4 Daaa jamaa yetu kweli unahitaji msaada lakini bure mwanangu jaiwezekani mimi ni fundi ramani zipo nyingi sana lakini kila kazi ina mipaka yake
Daaa jamaa yetu kweli unahitaji msaada lakini bure mwanangu jaiwezekani mimi ni fundi ramani zipo nyingi sana lakini kila kazi ina mipaka yake