kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Hicho ni sahihi
Hamko mbali na mtazamo wangu.Hicho ni sahihi
Ngoja kwanza nikuweke sawa wewe mwenyewe,Mambo vipi wakuu!
Siku za hivi karibuni nilimsikia mtangazaji mmoja wa radio flani akizungumzia chuo flani huko mkoani Kilimanjaro. Neno alilokuwa akitumia ni "hiko" (tofauti na wengine niliozoea kuwasikia wakitamka "hicho").
Mtangazaji huyo alikuwa akitamka " Mkuu wa chuo hiko amesema kwamba..."
Vile vile mtangazi huyo aliendelea kutamka "aidha chuo hiko kinatoa nafasi..."
Swali langu ni kwamba je mtangazaji huyo yuko sahihi katika kutumia neno "hiko" badala ya neno "hicho"?
Maoni tafadhari.
Sisi wakurya tuna tatizo la "R" & "L".Ngoja kwanza nikuweke sawa wewe mwenyewe,
Sio tafadhari bali ni tafadhali
Ngoja kwanza nikuweke sawa wewe mwenyewe,
Sio tafadhari bali ni tafadhali
Sisi wakurya tuna tatizo la "R" & "L".
Hicho chombo
Hiko kikombe
Upatanisho wa kisarufi
Sawa mwalimuAiseeeee! Yaleyale ya:
Teacher: Pido, kuku ni ndege. Bata ni nini?
Pido: Helikopta
Na wewe, ngoja nikuweke sawa, baada ya kumweka sawa mwenzio. Siyo ^sio^ bali ni ^siyo^
Siyo = si hiyo au si huyo (or, hiyo si na huyo si)
Sio = si huo, si hao, si wao, etc
Duh!Ungesema: Chichi Wakulya tuna tatizo ra ^ala^ na ^ero^ MULAAAA
nimeanza kukuelewa kwa mbali. tafadhali ongeza mifano, naona ufafanuzi wako una make senseChuo hiki --- chuo hiko
Chuo hichi --- chuo hicho
TehAiseeeee! Yaleyale ya:
Teacher: Pido, kuku ni ndege. Bata ni nini?
Pido: Helikopta