Watalaamu wa lugha: Nini tafsri ya hii sentensi kwa kiswahili.

Watalaamu wa lugha: Nini tafsri ya hii sentensi kwa kiswahili.

Radio Producer

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
726
Reaction score
320
Wasalamu wakuu.

Tunaweza kuitafsirije hii sentensi:-

"Farm Radio Weekly" kwa kiswahili?

Asante.
 
Wasalamu wakuu.

Tunaweza kuitafsirije hii sentensi:-

"Farm Radio Weekly" kwa kiswahili?

Asante.

hiyo ni sentensi au kipisi cha sentensi? tukichambua muundo wa sentense hiyo yako haijakamilika kwa muujibu wa macho yangu. may be "Farm Radio weekly Broadcast"
 
hiyo ni sentensi au kipisi cha sentensi? tukichambua muundo wa sentense hiyo yako haijakamilika kwa muujibu wa macho yangu. may be "Farm Radio weekly Broadcast"

Basi tuseme siyo sentensi ila tutafute tafsiri kama ilivyo "Farm Radio Weekly" Msamiati
 
Last edited by a moderator:
"kilimo redio kila wiki" kwa muujibu wa google

mimi naona " redio ya kilimo kila wiki"
Kilimo ni Farming. Farm ni eidha verb kwa maana ya lima au ni noun kwa maana ya Shamba. Nikiichunguza hiyo inayoitwa sentesi si sentesi bali ni maneno matatu yaliyounganishwa bila kuhusiana. Kwa maoni yangu ili kidogo ilete maana angeandika FARM WEEKLY RADIO. Kwa maana ya kituo cha radio kiitwacho Farm ambacho kinarusha matangazo yake kwa wiki mara moja. Mfano Guardian Weekly Newspaper,Rai Weekly Newspaper e.t.c.
 
Back
Top Bottom