Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
Wasalamu wakuu.
Tunaweza kuitafsirije hii sentensi:-
"Farm Radio Weekly" kwa kiswahili?
Asante.
Wasalamu wakuu.
Tunaweza kuitafsirije hii sentensi:-
"Farm Radio Weekly" kwa kiswahili?
Asante.
"kilimo redio kila wiki" kwa muujibu wa google
mimi naona " redio ya kilimo kila wiki"
Kilimo ni Farming. Farm ni eidha verb kwa maana ya lima au ni noun kwa maana ya Shamba. Nikiichunguza hiyo inayoitwa sentesi si sentesi bali ni maneno matatu yaliyounganishwa bila kuhusiana. Kwa maoni yangu ili kidogo ilete maana angeandika FARM WEEKLY RADIO. Kwa maana ya kituo cha radio kiitwacho Farm ambacho kinarusha matangazo yake kwa wiki mara moja. Mfano Guardian Weekly Newspaper,Rai Weekly Newspaper e.t.c."kilimo redio kila wiki" kwa muujibu wa google
mimi naona " redio ya kilimo kila wiki"
Wasalamu wakuu.
Tunaweza kuitafsirije hii sentensi:-
"Farm Radio Weekly" kwa kiswahili?
Asante.