Watalaamu wa magari, ushauri wenu unahitajika

Watalaamu wa magari, ushauri wenu unahitajika

Snglfrj

Member
Joined
Nov 21, 2021
Posts
17
Reaction score
35
Habari zenu wakuu,

Natumaini ni wazima vinginevyo pole kwa changamoto mnazopitia. Naomba kufahamu soko la kozi ya diploma ya automobile engineering kwa upande wa kujiajiri, vipi ni fani yenye fursa mtaani? Karibuni kwa ushauri wenu.
 
Back
Top Bottom