S Snglfrj Member Joined Nov 21, 2021 Posts 17 Reaction score 35 Nov 29, 2021 #1 Habari zenu wakuu, Natumaini ni wazima vinginevyo pole kwa changamoto mnazopitia. Naomba kufahamu soko la kozi ya diploma ya automobile engineering kwa upande wa kujiajiri, vipi ni fani yenye fursa mtaani? Karibuni kwa ushauri wenu.
Habari zenu wakuu, Natumaini ni wazima vinginevyo pole kwa changamoto mnazopitia. Naomba kufahamu soko la kozi ya diploma ya automobile engineering kwa upande wa kujiajiri, vipi ni fani yenye fursa mtaani? Karibuni kwa ushauri wenu.