Watalaamu wa magari

Watalaamu wa magari

Naomba kujua RPM (rotation) inapaswa kuwa ktk 0 au 1 wakati gari imesimama? Na je, km ni 1 hapo si kuna tatizo?

RPM kuwa wapi inategemea na aina ya gari yako. Kuna ambazo ni 600 mpaka 900. Kuna ambazo zinafika 1200 n.k.

Hilo swali la pili sijalielewa.
 
Back
Top Bottom