K keshaulo Member Joined Jan 7, 2020 Posts 85 Reaction score 69 Oct 8, 2020 #1 Naomba kujua RPM (rotation) inapaswa kuwa ktk 0 au 1 wakati gari imesimama? Na je, km ni 1 hapo si kuna tatizo?
Naomba kujua RPM (rotation) inapaswa kuwa ktk 0 au 1 wakati gari imesimama? Na je, km ni 1 hapo si kuna tatizo?
JituMirabaMinne JF-Expert Member Joined May 4, 2020 Posts 3,381 Reaction score 9,744 Oct 8, 2020 #2 keshaulo said: Naomba kujua RPM (rotation) inapaswa kuwa ktk 0 au 1 wakati gari imesimama? Na je, km ni 1 hapo si kuna tatizo? Click to expand... RPM kuwa wapi inategemea na aina ya gari yako. Kuna ambazo ni 600 mpaka 900. Kuna ambazo zinafika 1200 n.k. Hilo swali la pili sijalielewa.
keshaulo said: Naomba kujua RPM (rotation) inapaswa kuwa ktk 0 au 1 wakati gari imesimama? Na je, km ni 1 hapo si kuna tatizo? Click to expand... RPM kuwa wapi inategemea na aina ya gari yako. Kuna ambazo ni 600 mpaka 900. Kuna ambazo zinafika 1200 n.k. Hilo swali la pili sijalielewa.