Watalaamu watuambie, Mahitaji ya Umeme yanaendana na idadi ya watu?

Watalaamu watuambie, Mahitaji ya Umeme yanaendana na idadi ya watu?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Maharage Chande bosi wa Tanesco anasema kuwa Kwa kuwa idadi ya watanzania ni milioni 60 basi Mahitaji ya Umeme ni megawatt 60000. Kweli jamani Megawatt 60000 anazijua huyu ama anabwabwaja tu.

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme ndugu Maharage Chande amesema kuwa watanzania tutaendelea kupata mgao wa umeme hata bwaw la Nyerere likikamilika. Amesema kuwa idadi hiyi ya watu milioni 60 Ina Mahitaji ya megawatt 60000, hivyo megawati 2115 za NHP haziwezi kusaidia kitu.
 
Back
Top Bottom