Watalam tusaidieni hili

Watalam tusaidieni hili

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Naenda kwenye maada

Eti jamii ya hizi dawa kikawaida unatakiwa kufunua na kumimina unga wake au unameza nzima kama ilivyo?

Nmeuliza kwasababu wengine wanakupa maelezo kua usifunue umeze zilivyo wengne ufungue, basi tunaomba jamii ya dawa hizi
images.jpeg
Four-amoxicillin-capsules-as-incomplete-dose-for-an-adult-patient-bought-from-a.jpeg
 
Naenda kwenye maada

Eti jamii ya hizi dawa kikawaida unatakiwa kufunua na kumimina unga wake au unameza nzima kama ilivyo?

Nmeuliza kwasababu wengine wanakupa maelezo kua usifunue umeze zilivyo wengne ufungue, basi tunaomba jamii ya dawa hiziView attachment 1095664View attachment 1095665
Aliyekuandikia kakupa maelekezo gani? Unasumbuliwa na ugonjwa gani? Umenunua pharmacy au hospital?
 
Inajua huku kwetu polini sana yaani hatuwaamini hata wauzaji ktka maelezo wanayotupa ila ungonjwa utakaokusumbua mfano kama kikohozi unakua unjua dawa gani hua inakuponyesha ila maada yangu ulikua nijue tu kuusu kufungua au kumeza mazima, yeye huwapa maelezo kua wafungue wajimiminie unga

Duu Mungu wangu.... Hiyo inanywewa kama ilivyo...
 
mkuu unameza ka kukua amezavyo mahindi, zitajifunua tumboni zenyewe
 
Inajua huku kwetu polini sana yaani hatuwaamini hata wauzaji ktka maelezo wanayotupa ila ungonjwa utakaokusumbua mfano kama kikohozi unakua unjua dawa gani hua inakuponyesha ila maada yangu ulikua nijue tu kuusu kufungua au kumeza mazima, yeye huwapa maelezo kua wafungue wajimiminie unga
Pole. Hizo dawa huwa hatufungui. Ukizifungua wakati wa kumeza huwa zinaharibiwa na mfumo wa ulinzi wa mwili mf Kimeng'enya kinachopatikana kwenye njia ya chakula. Hizo dawa zimewekewa hiyo cover kuzuiwa kuharibiwa ili zifike mahali pa absorption zikiwa salama na hiyo cover itadissolve vzr ikifika kwenye saiti ya kumeng'enywa. Ukizifungua unazipunguzia effectiveness yake ya kutibu.
 
Back
Top Bottom