Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
Kama unatumia kifaa cha kubadili mkondo (DC to AC) ni sawa lakini kama unatumia DC only ni vizuri kuwa na mfumo wake.Naomba kuuliza: Unaweza kutumia mfumo wa sora ya wat 100 kwenye nyumba ambayo imekonekitiwa na njia zilezile za umeme? Maana sehemu nilipo umeme bado hauja fika nimenunua solar.
Naomba kufahamu hilo nilihitaji njia za umeme ndio nzitumie kama zilivyo kwa kutumia umeme huu wa solar.
Kama una majibu nisaidie kunipa uelewa na elimu kuhusu masuala haya kwa ujumla.
Mimi nimefunga solar na umeme katika njia moja japo kwenye tv peke yake kwa kuwa solar yangu ni ndogo ku supply nyumba nzima. Unakiwa kuwa na vitu vifuatavyo:-Naomba kuuliza: Unaweza kutumia mfumo wa sora ya wat 100 kwenye nyumba ambayo imekonekitiwa na njia zilezile za umeme? Maana sehemu nilipo umeme bado hauja fika nimenunua solar.
Naomba kufahamu hilo nilihitaji njia za umeme ndio nzitumie kama zilivyo kwa kutumia umeme huu wa solar.
Kama una majibu nisaidie kunipa uelewa na elimu kuhusu masuala haya kwa ujumla.