Watalamu wa masoko system za Afya (IS health services marketing) na masoko ya systems za uhasibu Tanzania

mwanza_kwetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
693
Reaction score
182
Wadau wote, wanahitajika wasomi wenye degree walau za masoko au za afya aina yoyote au ofisa mauzo wenye weledi kwa ajili ya masoko ya huduma za afya, lengo ni kuuza system za IT kwenye hospitals za private na za serikali na kwamba maofisa hawa watafanya kwa mikataba ya muda mfupi mfupi wenye malengo (targets) baada ya kuwasilisha CV, kushinda udahili, makubaliano kimkataba, na training/mafunzo (online/ classroom base) na kuwapa mikakati ya kazi

Tuma CV kwa madiba.mult.business@gmail.com

Maswali yote yatajibiwa papo kwa papo .................................
Deadline kutuma maombi ni Jumatano trh 30/06/2021;
 
Mhimu mwenye uhitaji aombe apate Kazi kama ana qualifications
 
Deadline 30.06.2021

Back
Top Bottom