Kwa nini Taleban wameweza kurudi madarakani baada ya Marekani kuondoa vikosi vyao? Kwa nini Taleban hawakuthubutu kurudi katika miaka yote 20 wakati Marekani ameweka vikosi vyake Afghanstan?Marekani na washirika wake pamoja na kutumia takribani dola bilioni 89 ($89 billions) kwa kuvifundisha na kuvipa silaha vikosi vya jeshi la Afghanistan kwa takribani miaka 20 hivi, iliwachukua mwezi mmoja tuu kwa Taliban kuvi fyekelea mbali na kuvisambaratisha vikosi vya jeshi la Afghanistan baada ya ‘washirika wao’ kutangaza kuviondoa vikosi vyao nchini Afghanistan.
Lakini si unaelewa taliban wanavyokandamiza wanawake kupitia sharia law, na haki nyingine nyingi za kibinadamu.tatizo apo watu walisha 'panikishwa' na waka 'panic' na wengine wanaenda kutafuta 'fursa' ……….
Ongezea. Kwanini marekani ilishindwa kuimaliza talebani kwa miaka 20? Kwanini marekani iliteka miji takribani 90% ya Afghanistan lakini wakashindwa kuilinda na kukimbilia kabul tu! Kwanini miaka yote 20 akuweza kuuteka mji wa Kandahar?Kwa nini Taleban wameweza kurudi madarakani baada ya Marekani kuondoa vikosi vyao? Kwa nini Taleban hawakuthubutu kurudi katika miaka yote 20 wakati Marekani ameweka vikosi vyake Afghanstan?
Marekani na washirika wake pamoja na kutumia takribani dola bilioni 89 ($89 billions) kwa kuvifundisha na kuvipa silaha vikosi vya jeshi la Afghanistan kwa takribani miaka 20 hivi, iliwachukua mwezi mmoja tuu kwa Taliban kuvi fyekelea mbali na kuvisambaratisha vikosi vya jeshi la Afghanistan baada ya ‘washirika wao’ kutangaza kuviondoa vikosi vyao nchini Afghanistan.
‘‘Allahu Akbar’ wapiganaji wetu wamefanikiwa kuichukua ikulu huku serikali dhalimu ikianguka, kibaraka mkuu ( raisi Ashraf Ghani ) na vikosi vyake wamekimbia na sasa vita imekwisha.!
’ haya maneno ya msemaji wa Wa -Taleban Suhail Shaheen na kuwaasa wakazi wa Kabul hawana haja ya kuwa na wasiwasi na kwamba mali na maisha yao ni salama. "Sisi ni watumishi wa watu na wa nchi hii,"
Taliban imetangaza ushindi nchini Afghanistan baada ya kuteka mji mkuu Kabul, na kutamatisha karibu miaka 20 uwepo wa Marekani na washirika wake nchini humo
Kutokea Kandahar ( kusini mwa nchi) adi Mazar-i-Sharif ( kaskazini), Herat ( Magharibi) mpaka Jalalabad ( mashariki) huku Kabul ukiwa mji mkuu wa mwisho nchini Afghanistan kudhibitiwa na Taliban, baada ya wapiganaji wake kuikamata miji zaidi ya miji kumi kwa muda wa siku kumi tuu. Aliye kuwa raisi, Ashraf Ghani, alitimua mbio na kukimbilia Tashkent katika nchi jirani ya Uzbekistan
Kikubwa zaidi kwa takriban masaa 36 tangu wa Taleban wauteke mji wa Kabul, hakuna raia au mwananjeshi yeyote aliye uwawa au kuchinjwa tofauti kabisa na ilivyo kuwa ikielezwa apo kabla na Marekani na washirika wake kuwa watu wengi watauwaa na kuchinjwa pindi Wa Taleban watakapo ingia Kabul....
Kongole kwa Wa Taleban kwa kuweza kuidhibiti tena nchi walionyang'anywa na wavamizi takribani miaka 20 iliyo pita,
Hujui ulisemalo..... Haya mambo yanataka uwe na elimu hata ya wastani tu
View attachment 1894546
Waswahili hawajui wanajichekesha chekesha tu kibwege.....😂naona walishapanga
Huna akili timamuVita ni amani, UHURU ni UJINGA…. na atakayenipinga huyo ni MJINGA na NUSU.
Unapaswa kuelewa kwamba role ya jeshi la ardhin la Marekani wakati wa utawala wa Obama ilibadilishwa na kuwa assist mission-Kazi yake haikuwa tena kupambana na watalibani moja kwa moja bali kulisaidia jeshi la Afgan kwenye intelligence na air support ilipohitajika.Unapaswa kuelewa hili.Ongezea. Kwanini marekani ilishindwa kuimaliza talebani kwa miaka 20? Kwanini marekani iliteka miji takribani 90% ya Afghanistan lakini wakashindwa kuilinda na kukimbilia kabul tu! Kwanini miaka yote 20 akuweza kuuteka mji wa Kandahar?
Vita sio ugali
Kuielewa Marekani hasa kwenye vision na sera zake inahitaji uelewa mpana sana wa mambo-CIA and other US intelligency agencies wanaelewa picha halisia ya haya mambo zaid hata ya public,In nutshellMarekani na washirika wake pamoja na kutumia takribani dola bilioni 89 ($89 billions) kwa kuvifundisha na kuvipa silaha vikosi vya jeshi la Afghanistan kwa takribani miaka 20 hivi, iliwachukua mwezi mmoja tuu kwa Taliban kuvi fyekelea mbali na kuvisambaratisha vikosi vya jeshi la Afghanistan baada ya ‘washirika wao’ kutangaza kuviondoa vikosi vyao nchini Afghanistan.