Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
Tuwahimize wapande bombardier letu ili tupate faida twice...Kwa hiyo tufanyeje??
wapelekeni baandarini wakaone makontena yaliyotelekezwa na bashite!
hawajaja kuomba chakula.Zamani walikuwa wanakuja watalii zaidi ya 200 na hakuna ambaye alikuwa atoa kiki lakini leo hii wakija watalii 3 nchi nzima inapigwa la mgambo.....mwambieni babu yenu akagawe mapapai kwa watalii
HahahahaZamani walikuwa wanakuja watalii zaidi ya 200 na hakuna ambaye alikuwa atoa kiki lakini leo hii wakija watalii 3 nchi nzima inapigwa la mgambo.....mwambieni babu yenu akagawe mapapai kwa watalii
Tena breaking newsEti hii ni habari!