Watalii 48,000 ndan ya wiki 2, Utalii Tanzania unapaa zaidi

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213


Idadi ya watalii imezidi uwezo wa kawaida unaotegemewa, hoteli zote zimejaa mpaka january
 
Hizo propaganda zishafeli, usifkiri Dar uko peke yako.
 
Watu kutoka nje Alikuwa anawasema Mama Khafidh ndio hao sasa.
 
Watu kama huyu ndiyo walio mtumbukiza samia shimoni 😁😁😁
 
Sawa
 
Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 – Google Drive
Vichwa vyenu vinawaza kuchinjana TU...upe ubongo wako good thought for your mental health...kwani afya Yako ya akili ndo mtaji wako..
 
Subiri pale pesa ya kukulipa posha ya kupiga dodoki hao itakapokata tusikie mayowe!
 
mpaka january
Issue nzito kama hii . Inatakiwa iambatane na ushahidi wusiotiliwa shaka. Na inatakiwa kuwa Front page na si kwenye mawazo ya Editor.

Tungejua wamefika kutoka nchi gani, wangapi Kila nchi wanatarajia kutembelea wapi wamefikia wapi....na vitu kama hivyo. Na picha pia za watalii hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…