Watalii 48,000 ndan ya wiki 2, Utalii Tanzania unapaa zaidi

Duh! Nisingekuwa kwenye hii sekta kuna watu wangenidanganya sana,hapa nipo mawe ya simba serengeti, naelekea arusha,Mungu atubariki sana.
 
Hizo ni "AI"
 
Kuitetea CCM ishakuwa mission impossible
 
Gazeti la serikali
 

Attachments

  • Screenshot_2025-11-23-12-46-42-681_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    166.1 KB · Views: 21
  • Screenshot_2025-11-23-12-50-19-345_com.android.chrome.jpg
    132.3 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…