Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwenye mapungufu lazima tuseme na moja la pungufu kwa Idara ya Uhamiaji ni huduma mbovu si kwa wageni pekee hata kwa Watanzania.
Idara hii imekuwa ikifanya shughuli zake kwa maringo na kujisikia sana!
Mipakani kwa mfano unakuta Afisa hayupo dirishani na yupo pembeni akiperuzi simu yake huku foleni ya wahitaji huduma ikiwa ndefu!