Watalii wamiminika Tanzania badala ya Kenya, ni baada ya Maasai Mara kupandisha kiingilio karibu mara tatu

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.

Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema. Hali hiyo imelalamikiwa na mahoteli na waongoza watalii nchini Kenya kuwa inaenda kuathiri msimu mkubwa wa utalii.

Serengeti_Maasai Mara.png
 
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.

Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema.
Hata kabla ya Kupandisha Bei Bado walikuwa wanaomiminika kuja Tanzania, Kenya hawajawahi tuzidi idadi ya Watalii.
 
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.

Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema. Hali hiyo imelalamikiwa na mahoteli na waongoza watalii nchini Kenya kuwa inaenda kuathiri msimu mkubwa wa utalii.

Hii ni fursa kwa TZ kutumia kupata watalii, kujifunza namna bora ya kuboresha sekta ya utalii pia kufanya tathini kwa kipindi kilichopita. We need to learn from our history
 
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.

Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema. Hali hiyo imelalamikiwa na mahoteli na waongoza watalii nchini Kenya kuwa inaenda kuathiri msimu mkubwa wa utalii.

RUTO anatafuta pesa kila sehemu baada ya vijana wa KENYA kukataa kukamuliwa zaidi!!!......naona sasa watalii nao wameanza kuandamana kimyakimya !!
 
Hata watalii wa dunia nzima wakija Tanzania wewe mtanzania wa kawaida hunufaiki na kitu chochote!
 
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.

Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema. Hali hiyo imelalamikiwa na mahoteli na waongoza watalii nchini Kenya kuwa inaenda kuathiri msimu mkubwa wa utalii.

Hii pia ni mbaya kwa utalii wetu na mazingira
 
Cha ajabu ni kuwa tunapata watalii wengi lakini maendeleo tunazidiwa na wakenya mara elfumoja.
 
Hata watalii wa dunia nzima wakija Tanzania wewe mtanzania wa kawaida hunufaiki na kitu chochote!
Sisi wakulima tunauza nyanya,hoho/karoti nk kwenye mahoteli.
Nyama ya ng'ombe,,kitimoto tunauza sisi kwenye hayo mahoteli.
Labda wewe na ukoo wako ndio
hamnufaiki na wingi wa watalii nchini.
 
Katika mambo ya kipuuzi nchi hii ni kwenye utalii, sera ni mbovu kabisa hakuna mikakati ya kumfanya mtalii akija automatic atake kurudi tena na kuwaambia wenzake ni zaidi ya matangazo lakini tunaweka mazingira magumu mtu akija basi atakamuliwa utasema ugomvi akiondoka hataki tena kurudi. Weka hizi tozo chini kabisa hata mtalii maskini anaweza kuzimudu, Hotel ziongezwe ili bei zishuke ziwe za kiushindani, airport process iwe faster na makampuni ya simu yaingie ubia na Immigration kumpa kila mtalii sim card bure( Kama wanachofanya Dubai) akigongewa tu passport. Pesa zitakuja tu maana watalii watakuja wengi sana na matumizi yatakuwa makubwa. Tuache kuuza chupa ya maji alfu 3.
 
Hata watalii wa dunia nzima wakija Tanzania wewe mtanzania wa kawaida hunufaiki na kitu chochote!
Umeshawahi kufika Arusha, Serengeti au Zanzibar ukaona watu wangapi wanategemea sekta ya utalii kuendesha maisha yao? Madereva, waongoza watalii, hotelia, wamiliki wa biashara husika etc.. Utalii umebeba watu ambao sekta ikifa watakuja sehemu ulipo kuweka kiwingu wapate rizk😅

Mapato ya tozo na kodi kupitia sekta yanasaidia kuboresha miundombinu na huduma za kijamii zinazotolewa na Serikali ambazo mtanzania wa kawaida anatumia..
 
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.

Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema. Hali hiyo imelalamikiwa na mahoteli na waongoza watalii nchini Kenya kuwa inaenda kuathiri msimu mkubwa wa utalii.

Wanaleta Dollar au mambo ya madafu? Mbona dollar hazionekani? Zimeenda wapi na kwanini?
 
Back
Top Bottom