Hata kabla ya Kupandisha Bei Bado walikuwa wanaomiminika kuja Tanzania, Kenya hawajawahi tuzidi idadi ya Watalii.Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.
Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema.
Hii ni fursa kwa TZ kutumia kupata watalii, kujifunza namna bora ya kuboresha sekta ya utalii pia kufanya tathini kwa kipindi kilichopita. We need to learn from our historyKasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.
Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema. Hali hiyo imelalamikiwa na mahoteli na waongoza watalii nchini Kenya kuwa inaenda kuathiri msimu mkubwa wa utalii.
RUTO anatafuta pesa kila sehemu baada ya vijana wa KENYA kukataa kukamuliwa zaidi!!!......naona sasa watalii nao wameanza kuandamana kimyakimya !!Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.
Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema. Hali hiyo imelalamikiwa na mahoteli na waongoza watalii nchini Kenya kuwa inaenda kuathiri msimu mkubwa wa utalii.
Hii pia ni mbaya kwa utalii wetu na mazingiraKasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.
Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo ndani ya Maasai Mara zilishajaa kutokana na bookings za mapema. Hali hiyo imelalamikiwa na mahoteli na waongoza watalii nchini Kenya kuwa inaenda kuathiri msimu mkubwa wa utalii.
Sisi wakulima tunauza nyanya,hoho/karoti nk kwenye mahoteli.Hata watalii wa dunia nzima wakija Tanzania wewe mtanzania wa kawaida hunufaiki na kitu chochote!
Big up Sana brodha kaongea shit nawe ukampa anachokistahilo 👊👊Sisi wakulima tunauza nyanya,hoho/karoti nk kwenye mahoteli.
Nyama ya ng'ombe,,kitimoto tunauza sisi kwenye hayo mahoteli.
Labda wewe na ukoo wako ndio
hamnufaiki na wingi wa watalii nchini.
Cha ajabu ni kuwa tunapata watalii wengi lakini maendeleo tunazidiwa na wakenya mara elfumoja.
Umeshawahi kufika Arusha, Serengeti au Zanzibar ukaona watu wangapi wanategemea sekta ya utalii kuendesha maisha yao? Madereva, waongoza watalii, hotelia, wamiliki wa biashara husika etc.. Utalii umebeba watu ambao sekta ikifa watakuja sehemu ulipo kuweka kiwingu wapate rizk😅Hata watalii wa dunia nzima wakija Tanzania wewe mtanzania wa kawaida hunufaiki na kitu chochote!
Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti.