Tunaambiwa Utalii umeongezeka maradufu..., Ni Vema na Haki, ila sijui kwanini hatuulizi hilo Ongezeko linafanya nini, mbona kukopa na Tozo ambazo zilikuwa hazipo nazo zimeongezeka ?Ungeongeza na Njaa Juu.
Royal tour haipimiki. Haina takwimu za Uhakika wala kisayansi kupewa upeo wowote ule wa juu.
Mama Samia! Raisi wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Please ikikupendeza watanzania wako wengi wanauwezo, wabunifu na wanamaono ! Fanya nao kazi sio lazima wawe ccm! Ni watanzania pia na wataifanyia nchi yao makubwa!Hizo ndio Kauli nazisikia wadau wakiniambia....
Mapato, na Mikopo navyo tunapata, yaani mambo yapo sawa sawia...
LAKINI najiuliza hizo Pesa zote za hao watalii, mikopo na Tozo tunazopata kwanini sioni maendeleo kitaa sambamba na hizo neema tunazopata ?
Ni wapi panavuja ? Kama Royal Tour tumepata watalii lukuki ambao hapo nyuma hatukuwapata. Hizo chenji za ziada zinakwenda / zimekwenda wapi ?
Ni ilani ya CHI CHi EmuTunaambiwa Utalii umeongezeka maradufu..., Ni Vema na Haki, ila sijui kwanini hatuulizi hilo Ongezeko linafanya nini, mbona kukopa na Tozo ambazo zilikuwa hazipo nazo zimeongezeka ?