Watamani Azimio wangekuwa na mtu kama Tundu Lissu wadai Rais Ruto aliwaahidi Ksh itapanda thamani baada ya Waarabu kusaini Mkataba kumbe uongo!

Watamani Azimio wangekuwa na mtu kama Tundu Lissu wadai Rais Ruto aliwaahidi Ksh itapanda thamani baada ya Waarabu kusaini Mkataba kumbe uongo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni Wakenya ambao wamesema Kenya anahitajika mtu kama Tundu Lisu ambaye hana maslahi binafsi kwenye mambo ya Biashara

Wamedai kampuni za Saudia na UAE walisaini Mkataba wa kusaidiana kuingia Mafuta na Rais Ruto aliwaahidi Ksh itapanda thamani dhidi ya Dollar lakini aliposema rate ilikuwa Ksh 133 kwa 1 US Dollar lakini leo miezi 6 imepita rate ni Ksh 146 kwa 1 US Dollar

Wamedai Azimio hawaongeagi kwa data kama yule mTZ Tundu Antipas Lisu

Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom