Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
- Thread starter
-
- #161
Hapa hapafai my dearAcha maneno mengi, weka picha hapa
😂😂 HayaaaHapa hapafai my dear
Je unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?
1. Hauwei
2. Iphone
3. Samsung
4. Tecno
Simu Nyingine taja mwinyewe. Ukikuta mtu mnatumia simu inayofanana jitahidi muwe marafiki kadri inavyowezekana.
NB: Watambue wana jf wanaotumia simu kama yako ili mpate kusaidia pale mnapopatwa na matatizo ya simu zenu.
Mimi naitumia ki itel kidogoooo cha tochi. Nmefunga na rubber band.
Ku reply?1.KuLIKE natumia SAMSUNG
2. KuComment IPHONE
3. Emoj Huawei
Napata go ahead ?[emoji23][emoji23] Hayaaa
Hadi uombe ruhusa?Napata go ahead ?
Naomba ruhusa ya kuja chumbaniHadi uombe ruhusa?
NjooNaomba ruhusa ya kuja chumbani
Ondoa kufuri basiNjoo
Funguo zimepoteaOndoa kufuri basi
Huo ni ukatili wa kijinsia sasa.Funguo zimepotea
Nkusindikize ?Ngoja nika Google nikachague simu ya bei kali nije kukomenti [emoji126]
TwendeNkusindikize ?
MoreJe unaingia jamii alimaarufu jf kupitia simu ya aina gani ?